Miziki yote ya Kiswahili kwenye vidole vyako

Rubega Musik ni jukwaa la miziki ya Kiswahili pekee. Sasa unaweza kupakua, kusikiliza na kusambaza miziki na wasanii unayowapenda muda wowote, wakati wowote BUREEE!.

Angaza

Jinsi Inavyofanya Kazi

Wasikilizaji

 • Angaza

  Angaza

  Angaza miziki mipya, gundua watu wapya and shiriki na wasanii.

 • Gawiza

  Gawiza

  Sambaza nyimbo uzipendazo na marafiki zako kwenye mitandao ya kijamii.

 • Pangilia

  Pangilia

  Tengeneza na pangilia orodha ya nyimbo vile upendavyo.

Watengenezaji

 • Pakia

  Pakia

  Pakia sauti, muziki na podikast zifikie ulimwengu.

 • Mashabiki

  Mashabiki

  Ungana na jamii yako na kuongeza mashabiki.

 • Takwimu

  Takwimu

  Jua idadi ya mashabiki wako kwa takwimu bora zaidi.