Explore
Connect
Joslin & Makamua - 2 in 1(Wanatamani & Niite basi  REMIX)
Add
ntonto
(
2019-08-27T05:24:17+03:00
)
Dah nimehangaika kuipata hiii ngoma,,, sema hongera sana kutunza vitu vtamu vya kale
arnoldarthur52
(
2019-08-17T10:25:35+03:00
)
Noma
chibux
(
2019-07-19T10:32:01+03:00
)
Tunashukuru bro kwa ngoma ambazo nia admu kuzipata kokote humu kuna ngoma tamu sanaa
jovinmbwile
(
2018-05-18T16:02:20+03:00
)
Nice
iddygang14
(
2018-03-28T05:18:35+03:00
)
Asante sana mkuu, sijui kwa nini hii ngoja haipatikani hovyo.
yegokelvi
(
2017-12-08T11:15:09+03:00
)
Daaaah! Nimeisaka Sana hii ngoma! Respect kwako Chief!
Mauke Mtoi
(
2017-09-06T01:09:50+03:00
)
i was lookin for this song for too long thanx homie
ntama
(
2017-05-12T15:05:35+03:00
)
Bombastic